Quantcast
Channel: Uchambuzi – FikraPevu
Browsing all 186 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtwara: Serikali inavunja nchi kwa kutosikiliza Wananchi!

Kwa wiki ya tatu mfululizo kumekuwa na malumbano kuhusiana na suala la ujenzi wa Bomba la gesi kutoka Mtwara mpaka Dar es Salaam. Kumekuwa na madai yenye nguvu ya hoja kutoka kwa wananchi wa Mtwara...

View Article


Viongozi wetu wanataka wakumbukwe kwa yepi?

Kila mara niangaliapo jinsi mambo yanavyoendeshwa na walio kwenye madaraka ya umma na hasa katika serikali za hivi karibuni kuna jambo ninaloliona haliko sawa. Nafahamu ili uweze kufanya kazi yako...

View Article


Soko la Hisa la Dar: Fursa ya kipekee kwa wajasiriamali wazalendo Tanzania

Soko letu limekuwa likiwanufaisha zaidi wageni na wananchi wa nchi jirani ambao hulitumia kikamilifu kujinufaisha na wazalendo wengi kutoelewa nini kinachoendelea. Kwa wale waliokwisha jitosa, huwezi...

View Article

Elimu yetu Tanzania: Suala la kujifunza na changamoto za utandawazi

Poleni watanzania wenzangu kwa habari ya kusikitisha ya wahitimu wa Kidato cha Nne 2012 kuwa na ufaulu wa kusikitisha (zaidi ya 90% wamefeli kwa kupata div 4 au ziro). Kwa mzalendo yeyote lazima...

View Article

KITAMBI: Chanzo chake na jinsi ya kukiondoa

Kitambi (kilibatumbo) ni tumbo kubwa ambalo linachomoza kwa mbele na wakati mwingi kuning'inia isivyo kawaida. Ni ugonjwa kama magonjwa mengineyo na huweza kuwakumba watoto, vijana, watu wazima na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Digiti sawa, zi wapi chaneli tano muhimu?

Wahenga walinena; “Ahadi ni deni”. Katika mchakato wa kuingia kwenye mfumo wa kurusha matangazo kwa njia ya digiti toka mfumo wa analojia, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Wizara ya Sayansi,...

View Article

NGONO: Wanawake na Wanaume tunapoamua ‘kujiachia’ na Madhara yake…

Msomaji, nimeona vema nishirikiane nawe katika hii hoja ya kujiachia kwa miili yetu katika kufanya mapenzi na wapenzi wetu. Hapa ninaposema kujiachia sina maana kujiachia wakati wa faragha kufurahia...

View Article

Usalama wa wanahabari na rushwa: Mjadala uliokwama

Leo tarehe 27 Machi 2013 ilikuwa siku nyingine ambapo wanahabari wameshindwa kufikia muafaka juu ya suala la usalama wao. Mjadala huu uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) lengo likiwa ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kuporomoka majengo Dar: Tumekwama, tumeshindwa!

Sherehe za pasaka ziliingia dosari hususan kwa wakazi wa Dar es Salaam kufuatia kuporomoka kwa jengo la ghorofa 16 mtaa wa Indira Gandhi katikati ya mji. Watu wengi wamejeruriwa na vifo vimefikia watu...

View Article


Tanzania na Ushirikishwaji wa Wananchi katika Maendeleo ya Jamii

Katika maendeleo yoyote yale ili yawe endelevu na yenye manufaa kama kusudio lake lilivyopangwa, kuna vitu muhimu lazima kuzingataiwa likiwemo hili la ushirikishwaji (participation of community)....

View Article

Tunachotakiwa kujifunza na kuomba kutoka kwa wachina

Ni miaka mingi sasa tumekuwa tunaisifu China kuwa ni nchi iliyopiga hatua kubwa kimaendeleo, na mara kwa mara wanasiasa wetu wamekuwa wakiitaja China kuwa ni nchi ya mfano wa kuigwa, hasa kutokana na...

View Article

Kinachosemwa, na Ukweli kuhusu Sera ya Mtoto Mmoja nchini China

Sera ya uzazi wa mpango ya China, maarufu kama sera ya mtoto mmoja, ni sera inayofahamika sana duniani kwanza kutokana na ufanisi wake katika kudhibiti ongezeko la idadi ya watu, na pili kutokana na...

View Article

Watanzania zaidi ya 100 wako gerezani nchini China kuhusiana na dawa za...

Kama kuna jambo ambalo linaichafua Tanzania katika jukwaa la kimataifa kwa siku hizi, basi ni tatizo la usafirishaji wa dawa za kulevya. Zamani tatizo hili halikuwa kubwa sana, ni mtanzania mmoja...

View Article


Wanaume: Baadhi ya sababu ambazo huwafanya wengi waogope kuingia kwenye ndoa

Vijana wengi wa kiume hujikuta katika wakati mgumu kuchukua maamuzi ya kuishi na mwanamke japo yawezekana wakawa wanatamani kufanya hivyo kwa muda mrefu kutokana na vikinza vingi, vingine vikiwa ni...

View Article

Kilimo si kwanza: Mipango sawa, vitendo hakuna!

Ukizunguka vijijini ambako ndiko hasa kilimo kinaendeshwa, unaweza kustaajabu na kujiuliza endapo bado upo katika nchi ile ile yenye mipango na mikakati mingi yenye kuvutia na kauli mbinu za kila...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HPV: Virusi hatari zaidi kwa wanawake!

HPV ni kifupi cha maneno Human Papilloma Virus. Virusi vya HPV ni kundi la virusi lenye aina zaidi ya 150 ya virusi vinavyohusiana. Virusi hivi huvutiwa na ngozi na sehemu zenye unyevunyevu kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Soko la China: Fursa iliyo wazi kwa watanzania, tunayoichezea!

Mwezi Julai 2012, serikali ya Tanzania ilituma ujumbe mkubwa wa kiutendaji hapa Beijing – China, uliokusanya watu kutoka Wizara, Idara, Makampuni, Jumuiya na Taasisi mbalimbali za Tanzania, ukiwa na...

View Article


Tuimarishe sheria na sera zetu, tukusanye kodi!

Hivi karibuni tunashuhudia duniani nchi mbalimbali zikihaha kuhakikisha suala la kodi linakuwa la kipaumbele. Kuhakikisha nchi zinapata kodi stahiki toka kwa vyanzo vyote hususan vile vya ndani. Suala...

View Article

Saratani ya Matiti (Breast Cancer): Chanzo, Dalili na Matibabu yake

Kansa ya matiti ni aina ya kansa inayojitokeza toka tishu za matiti hasa mirija myembamba inayopitisha maziwa. Ugonjwa huu (Saratani ya matiti) hutokea kwa binadamu na mamalia wengine. Idadi ya...

View Article

Ndoto ya China ni hii, ya Tanzania ni ipi?

Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu wazo la fikra jumuiya (collective thinking) na mchango wake katika kuhimiza umoja, usalama na maendeleo ya nchi. Wazo hili limezua mjadala kwa...

View Article
Browsing all 186 articles
Browse latest View live