Quantcast
Channel: Uchambuzi – FikraPevu
Browsing latest articles
Browse All 186 View Live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mitandao ya Kijamii inavyowanyima usingizi viongozi Afrika Mashariki

Licha matumizi ya intaneti kuongezeka katika ukanda wa Afrika Mashariki, watumiaji wa mitandao ya kijamii hawatafaidika na huduma hiyo kutokana vikwazo vya kisheria vilivyowekwa na serikali za nchi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Utata, nadharia iliyojificha kwenye Hati, kero za Muungano wa Tanzania

Leo watanzania kutoka nchi mbili za Zanzibar na Tanzania Bara wanaungano kusherehekea miaka 54 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioasisiwa April 26, 1964 na viongozi wawili wa kitaifa; Mwalimu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mikoa 10 Tanzania Bara vinara maambukizi ya Malaria

Aprili 25 kila mwaka dunia huadhimisha siku ya Ugonjwa wa Malaria. Lengo hasa ni kutathmini hatua zilizopigwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa ambao unaua maelefu ya watu kila mwaka. Kauli mbiu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Historia mpya yaandikwa rasi ya Korea. Washirika wa Marekani, China wakaa...

Ni jambo la kushangaza tena la kustaajabisha! Ni kule mashariki ya mbali, rasi ya Korea. Nchi zenye uhasama mkubwa kisiasa ziliamua kuweka tofauti zao pembeni na kuingia kwenye meza mazungumzo. Ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Utabiri wa hali hewa na maisha halisi ya mwanadamu

Ni kawaida ya watu wengi kuangalia utabiri wa hali ya hewa kabla ya kutoka nyumbani na kwenda katika majukumu ya kila siku. Tunapata taarifa za hali ya hewa kupitia vyombo vya habari au simu za mkononi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jinsi Intaneti inavyofanya kazi kwenye ndege

Intaneti iko kila mahali. Inapatikana ofisini, kwenye maduka makubwa, hata vituo vya mabasi utaipata huduma hiyo. Sio tena anasa lakini kiuhalisia ni fahari na haki ya kuzaliwa hasa kwa wakazi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwanini ni vigumu kujifunza lugha mpya baada ya utoto?

Kila mtu anafahamu jinsi ilivyo ngumu kujifunza lugha  ya pili hasa unapokuwa mtu mzima. Katika utafiti mpya, wanasayansi wamebainisha kuwa kuna umri  ambao mwanadamu akifika itampa shida kujifunza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ubinafsishaji wa demokrasia unavyodidimiza maendeleo Afrika Mashariki

Wagiriki wana tafsiri yao demokrasia kama ‘uongozi wa watu’. Na tafsiri ya kisasa inaelezeaza demokrasia zinasema ni mfumo wa serikali unaoongozwa na watu moja kwa moja ama kwa kutumia wawakilishi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uuzaji, umiliki wa silaha Rwanda usiwe sababu ya kuvuruga amani Afrika

Hivi karibuni Rwanda imebadili Sheria yake ya mwaka 2009 iliyokuwa inakataza umiliki na uuzwaji wa silaha za moto. Sheria mpya ya silaha za moto nchini humo inaruhusu wananchi kumiliki silaha na pia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Siri iliyofichika mauaji ya wanandoa nchini

Hivi karibuni tumeshuhudia matukio kadhaa ya vifo kwa wanandoa, aidha mume kumuua mke wake au mke kumuua mume wake. Ni matukio ya kusikitisha ambayo yameripotiwa sehemu mbalimbali Tanzania ikiwemo...

View Article
Browsing latest articles
Browse All 186 View Live