Quantcast
Channel: Uchambuzi – FikraPevu
Browsing index pages (186 articles)
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Siri iliyofichika mauaji ya wanandoa nchini

Hivi karibuni tumeshuhudia matukio kadhaa ya vifo kwa wanandoa, aidha mume kumuua mke wake au mke kumuua mume wake. Ni matukio ya kusikitisha ambayo yameripotiwa sehemu mbalimbali Tanzania ikiwemo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uuzaji, umiliki wa silaha Rwanda usiwe sababu ya kuvuruga amani Afrika

Hivi karibuni Rwanda imebadili Sheria yake ya mwaka 2009 iliyokuwa inakataza umiliki na uuzwaji wa silaha za moto. Sheria mpya ya silaha za moto nchini humo inaruhusu wananchi kumiliki silaha na pia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ubinafsishaji wa demokrasia unavyodidimiza maendeleo Afrika Mashariki

Wagiriki wana tafsiri yao demokrasia kama ‘uongozi wa watu’. Na tafsiri ya kisasa inaelezeaza demokrasia zinasema ni mfumo wa serikali unaoongozwa na watu moja kwa moja ama kwa kutumia wawakilishi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwanini ni vigumu kujifunza lugha mpya baada ya utoto?

Kila mtu anafahamu jinsi ilivyo ngumu kujifunza lugha  ya pili hasa unapokuwa mtu mzima. Katika utafiti mpya, wanasayansi wamebainisha kuwa kuna umri  ambao mwanadamu akifika itampa shida kujifunza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jinsi Intaneti inavyofanya kazi kwenye ndege

Intaneti iko kila mahali. Inapatikana ofisini, kwenye maduka makubwa, hata vituo vya mabasi utaipata huduma hiyo. Sio tena anasa lakini kiuhalisia ni fahari na haki ya kuzaliwa hasa kwa wakazi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Utabiri wa hali hewa na maisha halisi ya mwanadamu

Ni kawaida ya watu wengi kuangalia utabiri wa hali ya hewa kabla ya kutoka nyumbani na kwenda katika majukumu ya kila siku. Tunapata taarifa za hali ya hewa kupitia vyombo vya habari au simu za mkononi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Historia mpya yaandikwa rasi ya Korea. Washirika wa Marekani, China wakaa...

Ni jambo la kushangaza tena la kustaajabisha! Ni kule mashariki ya mbali, rasi ya Korea. Nchi zenye uhasama mkubwa kisiasa ziliamua kuweka tofauti zao pembeni na kuingia kwenye meza mazungumzo. Ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mikoa 10 Tanzania Bara vinara maambukizi ya Malaria

Aprili 25 kila mwaka dunia huadhimisha siku ya Ugonjwa wa Malaria. Lengo hasa ni kutathmini hatua zilizopigwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa ambao unaua maelefu ya watu kila mwaka. Kauli mbiu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Utata, nadharia iliyojificha kwenye Hati, kero za Muungano wa Tanzania

Leo watanzania kutoka nchi mbili za Zanzibar na Tanzania Bara wanaungano kusherehekea miaka 54 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioasisiwa April 26, 1964 na viongozi wawili wa kitaifa; Mwalimu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mitandao ya Kijamii inavyowanyima usingizi viongozi Afrika Mashariki

Licha matumizi ya intaneti kuongezeka katika ukanda wa Afrika Mashariki, watumiaji wa mitandao ya kijamii hawatafaidika na huduma hiyo kutokana vikwazo vya kisheria vilivyowekwa na serikali za nchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GREENLAND: Ulevi, ukosefu wa usingizi unavyochochea watu kujiua

Matukio ya watu kujiua yameendelea kushamiri katika maeneo mbalimbali nchini. Watu ambao wanaondoa uhai wao kwa kunywa sumu, kujinyonga au kujirusha kwenye majengo marefu, sio mambo mageni tena. Zipo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kanuni Mpya za Maudhui ya Mtandaoni: Kikwazo kingine cha uhuru wa kujieleza,...

Kwa muda mrefu sasa intaneti imekuwa ni jukwaa muhimu la kuwaunganisha watumiaji wa mitandao ya kijamii duniani kote; kupashana habari na kupadilishana uzoefu wa kijamii, kiuchumi, kisiasa na hata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fahamu njia 7 za kukusaidia kukumbuka kila kitu ulichosoma

Kwa mujibu wa Jhumpa Lahiri katika kitabu chake cha The Namesake anasema, “ Kusoma kitabu ni kitendo cha kusafiri bila kusogea kutoka pale ulipo”. Naye David Bowie msanii ajulikanaye kama msomaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEIKH ABEID AMANI KARUME: Mwanapinduzi aliyeibukia kwenye ubaharia

April 7 ya kila mwaka ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha rais wa kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume ambaye alizaliwa mwaka 1905 na kufariki 7 Aprili 1972. Hayati Mzee Karume ambaye ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mataifa makubwa hukopa wapi?

Hadi kufikia Januari 2018, Deni la taifa la nchi ya Uingereza lilikuwa limefikia dola za Marekani 2.5 trilioni, Japani dola trilioni 9.5, China dola trilioni 4.6, Marekani yenyewe dola trilioni 20 na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Is Magufuli the right man, or wait one after?

A good number of my fellow citizens are struggling to keep their head above water as tough financial times continue. These people are complaining for life hardships. They complained during Ali Hassan...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGORONGORO: The Eden of our time

Many residents and tourists from outside Tanzania who get the chance to visit Ngorongoro Conservation area and particularly the Crater, believe the place is like Eden, the garden mentioned in the Holy...

View Article


ACFTA: Pambazuko jipya la Afrika ‘ Tuitakayo’

Mnamo tarehe 21 mwezi wa tatu mwaka huu Afrika iliweka historia kwa viongozi wa Afrika kutia sahihi ya kuwa na soko huru la Afrika. Viongozi kutoka nchi 44 na zaidi walikutana Kigali Rwanda kutia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kuanzishwa soko la pamoja la Afrika kuipaisha au kuididimiza Tanzania?

Jumatano ya Machi 21 mwaka huu katika jiji la Kigali, Rwanda lilifanyika tukio la kihistoria la kufufua ndoto na matumaini ya waasisi wa bara la Afrika yenye lengo la kuzileta nchi zote za bara hilo...

View Article

AIDS doesn’t isolate, but people do

It is a terminal disease. No vaccine, no medicine but could be avoided when everyone gets proper education. Each of us will be safe from the virus and thus refrain from stigmatizing the victims. This...

View Article
Browsing index pages (186 articles)


Latest Images